Soundtracks:  A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #


Music Video

Jambo bwana Lyrics – Ted Kalanda



Soundtrack Album: Where'd You Go, Bernadette
Jambo bwana Text
Jambo, Jambo bwana,
Habari gani,
Mzuri sana.

Wageni, Wakaribishwa,
Kenya yetu Hakuna Matata.

Kenya nchi nzuri,
Hakuna Matata.

Nchi ya maajabu
Hakuna Matata.

Nchi yenye amani,
Hakuna Matata.

Hakuna Matata,
Hakuna Matata.

Watu wote,
Hakuna Matata,
Wakaribishwa,
Hakuna Matata.

Hakuna Matata,
Hakuna Matata. (till end)


Where'd You Go, Bernadette Album Cover

Where'd You Go, Bernadette

Soundtrack Lyrics for Movie, 2019

Track Listing